top of page
Screen Shot 2025-11-04 at 11.19.33 PM.png

Historia ya St. Louis

1803: Amerika yanunua St. Louis kutoka wafaransa

1764: Wafaransa wahamia St. Louis

1890: Mji mkubwa wa nne katika Amerika

1904

  • Yaandaa Maonyesho Mkuu ya Dunia (World's Fair) na Olimpiki ya Tatu (III Olympiad)

  • Waafrika kutoka Kongo na Afrika Kusini waletwa kuonyeshwa katika maonyesho ya dunia.

  • Wazulu wawili ni Waafrika wa kwanza kushiriki mbio za Olimpiki.

1940 - Mji una wenyeji zaidi ya 800,000

Mji wa Waamerika Asilia zaidi ya 10-20,000 kwenye mji ujulikanao sasa kama Cahokia. Lugha za watu asilia

1965 - Ujenzi waanza wa mnara unaoitwa Gateway Arch.

2014 - Mjini Ferguson Michael Brown auwawa na polisi. Maandamano ya kimataifa yazua vuguvugu la Black Lives Matter.

2014 - Mjini Ferguson Michael Brown auwawa na polisi. Maandamano ya kimataifa yazua vuguvugu la Black Lives Matter.

Screen Shot 2025-10-21 at 11.24.45 PM.png


Dr.
Njoroge 
Mungai

Screen Shot 2025-10-21 at 11.38.28 PM.png
Screen Shot 2025-10-21 at 11.47.03 PM.png


Homer G. Phillips Hospital

Screen Shot 2025-10-21 at 11.31.33 PM.png

Hadley Technical High School

Kiswahili Mjini St. Louis
Historia ya St. Louis

Screen Shot 2024-11-25 at 4.32.08 PM.png

Kiswahili Mjini St. Louis
Historia ya St. Louis

Screen Shot 2024-11-25 at 4.32.08 PM.png

1050-1150CE

  • Mji wa Waamerika Asilia zaidi ya 10-20,000 kwenye mji ujulikanao sasa kama Cahokia.

  • Lugha za watu asilia​

  • 1764: Wafaransa wahamia St. Louis

  • 1803: Amerika yanunua St. Louis kutoka wafaransa

  • 1890: Mji mkubwa wa nne katika Amerika

  • 1904

    • Yaandaa Maonyesho Mkuu ya Dunia (World's Fair) na Olimpiki ya Tatu (III Olympiad)

    • Waafrika kutoka Kongo na Afrika Kusini waletwa kuonyeshwa katika maonyesho ya dunia.

    • Wazulu wawili ni Waafrika wa kwanza kushiriki mbio za Olimpiki.​

  • 1940 - Mji una wenyeji zaidi ya 800,000

  • 1965 - Ujenzi waanza wa mnara unaoitwa Gateway Arch.

  • 2014 - Mjini Ferguson Michael Brown auwawa na polisi. Maandamano ya kimataifa yazua vuguvugu la Black Lives Matter.

​

​

Screen Shot 2025-10-22 at 12.32.23 PM.png

St Louis Fair, 1904

Screen Shot 2025-10-22 at 12.52.56 PM.png

Washington University in St. Louis

Screen Shot 2025-10-22 at 12.43.53 PM.png

Hadley Technical High School

Screen Shot 2025-10-22 at 12.43.14 PM.png

Vashon High School

Historia ya Wanafunzi Wakenya Katika St. Louis

1961

  • Daktari Mkenya wa shirika la MEDICO (Dkt. Njoroge Mungai) alipanga ili wanafunzi watatu kutoka mjini Nairobi, nchini Kenya (James Muniu, Sebastine Wahome, Priscilla Wainana) kusomea St. Louis 

    • Walipata visa ya mwanafunzi kwa miaka minne, walitumaini kukaa kwa muda mrefu zaidi ili kuendelea na masomo.  

    • Walihudhuria programu ya miaka minne katika shule ya Hadley Technical 

    • Walitumaini kurudi Afrika “kuwasaidia watu wao”. 

  • Ufadhili 

    • Wazazi wa Hadley waliwanunulia nauli ya usafiri kutoka Kenya 

    • Halmashauri ya Elimu ya St. Louis iligharamia karo ya shule  

    • Wanafunzi wawili waliishi na mwanajumuiya

1962

  • Wanafunzi Watatu Wakenya walifanya mazaungumzo na wanafunzi wanawake wa Chuo cha Maryville.  

    • Walijadili kuhusu hamu ya Wakenya kupata uhuru. 

    • Walisisitiza haja ya wataalamu – madaktari, wanasheria, na wanasayansi, harakati za uhuru. 

    • Alitaja kuhusu kutoungwa mkono na Peace Corps.  

  • Wanafunzi walipanga kusoma kwa miaka. minane katika Amerika kabla ya kurudi Kenya 

1963: Muniu walikuwa mwanafunzi msaidizi chama cha Maktaba cha shule ya Hadley Technical. Alisaidia kuandaa programu (check primary source – auditorium propgram?). Programu hii ilimshirikisha Bw. William B. Pollard as a guest speaker. 

  • 1964

  • Aprili 

    • Ingawa alikuwa kijana, Muniu aliwafundisha watu wazima Kiswahili katika Shule ya jioni ya Watu Wazima ya University City. 

    • Alimfundisha mwalimu wake wa sayansi, aliyeitwa George Falgier.   

  • Juni 

    • Muniu alihitimu kutoka Shule ya Sekondari ya Vashon, pamoja na wanafunzi wengine 213. 

    • Naibu wa Mwalimu mkuu Ralph Wardlow alimtunza Muniu tuzo la ufanisi mkuu. 

1968

  • Agosti 

    • Muniu alikihudhuria chuo kikuu cha Washington (special medicine program?) 

    • Muniu alikuwa msemaji katika mikutano ya Shirika la Amerika la Wanawake wa Vyuo Vikuu (AAUW).  

    • Aliwashilisha kuhusu Peace Corps na UM katika Afrika Mashariki pamoja na maonyesho ya sanaa ya Kenya. 

  • Septemba 

    • Priscilla Wainana (mwanafunzi mwenza wa Muniu kutoka Kenya) aliolewa na Peter K. Karimi. 

    • Walipanga kurudi Kenya baada ya Karimi kumaliza masomo katika Chuo Kikuu cha Wisconsin. 

    • Muniu alishiriki harusi ya Wainana.

1969: Muniu alikuwa mwanafunzi wa shahada katika WUSTL. Alifundisha darasa la Kiswahili la wiki kumi na nne. Alifundisha wanafunzi waliosoma Kiswahili kwa mara ya kwanza na wanafunzi walioendelea.  

Ramani za Lugha za Nairobi

Screen Shot 2024-11-28 at 2.50.40 PM.png
Screen Shot 2024-11-28 at 8.40.23 PM.png
Screen Shot 2024-11-28 at 8.41.05 PM.png
bottom of page